Meneja wa Inter Milan, Antonio Conte anasisitiza kuwa Inter walistahili kwa sifa zote kabisa katika robo fainali ya Coppa Italia na walikuwa na nafasi ya kuwachapa Fiorentina katika mda wa kawaida wa mchezo Jumatano.
Hata hivyo, Inter walihitaji hadi dakika 118 ambapo Romelu Lukaku aliwatoa kimasomaso kwa goli la kichwa na la ushindi katika mda huo wa nyongeza baada ya penati ya Arturo Vidal na mkwaju wa Christian Kouame kumaliza dakika 90 kwa sare ya 1-1.

“Tulistahili kufuzu, na ilitakiwa kuwa ndani ya dakika 90 za awali, kwa sababu tulikuwa na nafasi kubwa ya kushinda. Vijana walifanya vyema, kucheza dakika 120 wakiwa vyema na kujipanga kwa usawa. Nimeridhika.” – Antonio Conte
Zaidi Conte anabainisha kuwa amefurahi wachezaji wale ambao walikosa nafasi ya kutinga dimbani kwa mda mrefu kidogo kwa sababu tofauti kama Aleksandar Kolarov na Andrea Ranocchia walivyothibitisha ni kwa namna gani wanaijali Inter.
Conte anaamini kuwa alikuwa na kikosi bora zaidi kufuatia uchaguzi alioufanya, na kilistahili kupata matokeo mazuri na kufanikiwa.
Ndio, kwetu Mteja ni mfalme. Jiunge sasa na familia ya Meridianbet bila malipo yeyote na sisi tutakuzawadia bonasi ya shilingi 3,500 kama sehemu ya kukukaribisha kwenye familia hii BURE!!!. Unasubiri nini??



Shakila mrope
Asant kwa taarifa
Sania
Ni kweli
Sadick
Conte anachachawa mno kutokana kuwa na kikosi imara kwa bahati mbaya imekuwa ikipata ushindi kwa shidada mno
Rahmal
Asante kwa taalifa
Dorophina
Nice update
Magdalena
Safii
Saupha mohamed
Safi
Mwanahamisi
Safi
felister
safi
Lydia Emmanuel Magoti
Hongera yao
Hopemwaikuka
Ni kweli
Sarah
Vizuri
warda
Haswaaa walistail