Juventus Wakamilisha Rasmi Usajili wa Dabo

Juventus wametangaza kukamilisha dili la kumsajili kinda Abdoulaye Dabo ambaye anaungana na kikosi cha vijana U23 cha Juventus.

Winga huyu ambaye ni raia wa Ufaransa amekamilisha uhamisho wake wa mkopo, na mkataba wake pia unahusisha kipengele cha kumnunua, kama ilivyothibitishwa na Juventus, miamba wa Serie A.

Dabo Juventus

Kinda huyu amejijengea umaarufu ufaransa akitambulika zaidi kama nyota chipukizi kwenye tasnia ya soka la Ufaransa, sasa ameingia kwenye soka la Italia, bila shaka atawashawishi mashabiki wa soka la Italia kumpenda kwa kazi nzuri.

Dabo alikuwa mbioni kukamilisha usajili na Juventus wakati Claudio Ranieri alipokuwa kocha wa Nantes 2017, lakini meneja huyu wa sasa wa Sampodoria alikwamisha uhamisho wa nyota huyu ambaye alisaini mkataba wake wa kwanza wa soka lake la kulipwa na klabu hiyo ya Ligue 1.

Dabo alikamilisha vipimo na mabingwa wa Serie A Jumatatu na akawa anasubiria kutangazwa rasmi. Sasa Juve wamemtangaza rasmi kupitia ukurasa wao wa vijana wa twitter.


JIUNGE NA FAMILIA YA MERIDIANBET BURE!!!!

Ndio, kwetu Mteja ni mfalme. Jiunge sasa na familia ya Meridianbet bila malipo yeyote na sisi tutakuzawadia bonasi ya shilingi 3,500 kama sehemu ya kukukaribisha kwenye familia hii BURE!!!. Unasubiri nini??

BOFYA HAPA

15 Komentara

    Safi san

    Jibu

    Itabamba hiyo

    Jibu

    Ufaransa ina hazina kubwa ya wachezaji chipukizi ambao watakuja kutamba mno baadaye

    Jibu

    All the best Dabo

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Karibu juve dabo kila lakheri

    Jibu

    Safi Sana juve

    Jibu

    Nice

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Davos atakiwasha

    Jibu

    kila la kheri

    Jibu

    Safii sana

    Jibu

    Mkaka nmempenda bure hongera zake

    Jibu

    Safii

    Jibu

    Dogo namkubali sana

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.