Daniele Adani: Bartomeu Afukuzwe Hispania!

Mlinzi wa zamani wa Serie A Daniele Adani anasema Josep Maria Bartomeu anapaswa kufukuzwa Uhispania: “Hawezi kusamehewa.”

Rais huyo wa zamani wa Barcelona amekamatwa kwa tuhuma za matumizi mabaya ya ofisi, ufisadi kati dhidi ya watu binafsi na utapeli wa pesa, kwa mujibu ripoti.

Seke Seke hili limemuibua beki wa zamani wa Fiorentina na Inter Lele Adani, ambaye anasisitiza Bartomeu kwa jinsi alivyosimamia Barcelona na haswa jinsi alivyowafanyia Leo Messi na Gerard Piqué.

Daniele Adani: Bartomeu Afukuzwe Hispania!
Bartomeu

“Katika maisha, unaweza kulipa gharama kubwa ikiwa utafanya mambo fulani. Katika katika soka, Barcelona wamepata majanga kweli katika miaka 4-5 iliyopita,”

“Barcelona iliendelea kununua wachezaji, ikikuza deni na kudhalilisha wachezaji kama Messi na Piqué. Unapanda upepo, unavuna kimbunga,”

“Haki inachukua mkondo wake, kwa bahati nzuri, ni mapema kidogo ya Italia.”

Adani amesisitiza kuwa, ikiwa ni kweli kwamba Bartomeu alitumia mitandao ya kijamii kuwashusha thamani Messi na Pique anapaswa kufukuzwa kabisa Hispania si kusamehewa.


TENGENEZA FAIDA KATIKA SLOTI PENDWA HAPA MERIDIANBET

BusttheBank ni sloti inayokupa Mkwanja wa kutosha. Ndio, hii ni sloti inayokupa faida ya hadi mara kibao ya dau lako. Ni Meridianbettz pekee utakapoweza kupata burudani hii.

CHEZA HAPA

11 Komentara

    Safi sana ili iwe fundisho kwa wengine

    Jibu

    Asante kwa taalifa meridian bet

    Jibu

    Kayataka mwenyewe kwahy asepeshwee tu kiroho safii

    Jibu

    Itakuwa funzo kwawengine

    Jibu

    Nice update

    Jibu

    Mhh kwann

    Jibu

    Bartomeu ameifikisha sana barca

    Jibu

    Nmependa

    Jibu

    Kumbe kila sehemu kuna ufisadi duuu nilijua bongo tu

    Jibu

    Duuh sio poa

    Jibu

    Adani amesisitiza kuwa, ikiwa ni kweli kwamba Bartomeu alitumia mitandao ya kijamii kuwashusha thamani Messi na Pique anapaswa kufukuzwa kabisa Hispania si kusamehewa.

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.