Kocha Mkuu wa Yanga, Cedric Kaze amefunguka kuwa anaipongeza Coastal kwa ushindi walioupata dhidi ya klabu yake siku ya leo, huku pia akiwapongeza nyota wake kwa kupambana.

Yanga leo katika dimba la Mkwakwani jijini Tanga imepoteza kwa mara ya kwanza kwenye Ligi Kuu Bara msimu huu baada ya kukubali kipigo cha mabao 2-1.
Akizungumzia mchezo huo Kaze amesema: “Tulikuwa na mchezo mzuri dhidi ya wapinzani wetu na kufanikiwa kupata penalti mwanzoni, lakini kwa bahati mbaya tulikosa.
“Lakini nawapongeza vijana wangu kwa kupambana, pamoja na wapinzani wetu kwa ushindi walioupata,”
Ni Muda wa Kuvuna Mkwanja na Jungle Jim and the Lost Sphinx
Hauihitaji kufikira mara mbili ni mchezo gani utakupatia mkwanja ndani ya kasino za Meridianbet. Jiunge sasa ufurahie Jungle Jim and the Lost Sphinx.



Sadick
Maneno chanya kutoka kwa Kocha aliyefunzwa na kufunzika
Adelta
Pole yao
Venerose
Hongereni sana Yanga
Hopemwaikuka
Wanamtimua sasa hv
Rahma
Saw
Caroline
Sawaa
Sarah
Pole yao
Lydia Emmanuel Magoti
Pole yao safari hii kaze kazi anayo
warda
Atakubali mziki wa timu zote Tanzania