Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imefanya mabadiliko ya muda wa mchezo wa Ligi Kuu baina ya Yanga SC na Azam FC, Aprili 25 kwa kusogeza mbele muda wa mechi kuanza saa 2:15 kutoka muda uliokuwa umepangwa mwanzoni wa saa 1:00 usiku.
Taarifa iliyotolewa na TPLB leo imeeleza kuwa mabadiliko hayo ya muda wa kuanza kwa mechi yamefanyika kutokana na Uwanja wa Benjamin Mkapa ambao utatumika kwa mechi hiyo kuwa na matumizi mengine.
Kuelekea mchezo huo Yanga SC anaongoza ligi kwa alama 57 huku Azam FC katika nafasi ya 3 akiwa na alama 51, timu zote zimeshinda michezo miwili na kupata sare moja katika michezo yao mitatu ya hivi karibuni.
Nafasi nyingine kwaajili yako, kasino mpya yenye hadhi ya kipekee inayokupa kila sababu ya kuwa mshindi katika kasino za Meridianbet, anza siku yako na njia rahisi ya kutengeneza mkwanja.



aisha
Lazima kieleweke
Adelta
Hapo kazi ipo
Lydia Emmanuel Magoti
Kaz ipo
Magdalena
Hatari
neema hassan
Mtanange matata
Saupha
Nomaa
Khadija
Kazin ipo hapo
warda
ILIKUWA POA