Zinedine Zidane amethibitisha kwamba Eden Hazard yupo kwenye mstari wa kuungana na timu ya Real Madrid kukabiliana na Chelsea katika nusu ya fainali ya Champions League siku ya Jumanne.

Real Madrid imekuwa ikabiliwa na idadi kubwa ya majeruhi na Mbeligiji huyo amekuwa nimmoja wa wachezaji ambao wamekuwa wakikumbwa na majeraha ya mara kwa mara kuliko mchezaji yeyote.
Zidane aliwaambia maripota kabla ya mchezo: “ Sioni kama Eden Hazard akiwa kwenye shaka lolote la kuukosa mchezo huu. Anaonekana kuwa vizuri uwanjani.
“Hicho ndio kitu cha umuhimu hajisikii chochote kutoka kwenye tatizo la zamani, sasa yupo vizuri kwaajili ya kuendeleza gurudumu. Tuna furaha kuwa naye ataleta mengi ndani ya timu.
Kiungo wa Ujerumani Toni Kroos alikuwa nje ya dimba tangu mchezo wa pili wa robo fainali ya Champions League dhidi ya Liverpool mwezi April 14 lakini sasa yupo fit kurejea dimbani.
Beki wa kushoto wa Ufaransa Ferland Mendy hatokuepo kwenye mchezo huo kwa mara nyingine akiendelea kujitibu majeraha yake.
KWANI MERIDIANBET WANASEMAJE! MKWANJA UPO KWENYE KASINO MPYA YA MINI POWER ROULETTE.
Unawezaje kukosa ubingwa ndani ya kasino hii maridhawa, Nafasi ya kushinda mkwanja ni kwa kila mtu, Meridianbet inakupa nafasi ya kuwa mmoja ya washidi leo, unasubiri nini?



Issa
Kaisha hana maajabu
Mariam mtandama
Duuuh
Johnmary jo
Habari nzuri #meridianbett#
neema hassan
Habari njema kwa mashabik
aisha
Eden hana jipya au ndio anajihami
Lydia Emmanuel Magoti
Habari nzuri
Adelta
Hana maajabu
[email protected]
Hana maajabu
Sarah
Habari nzuri
Saupha mohamed
Good News
Sania mapua
Habari njema
Magdalena
Good news
dorophina
Hazard wa Sasa tofauti na wazamani hana jipya
Theonestina
Duuuh
Khadija
Duuuh
Venerose
Mmmh
Saupha
Dhuuu