Kocha Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi amesema hana hofu na mbio za kuwania ubingwa wa Ligi Kuu zilizopo sasa na kuongeza ‘hesabu’ zitakamilika vyema katika mechi ya mwisho ya kumaliza msimu wa 2020/21 na si vinginevyo.

“Kwa sasa kila mmoja anajipanga kupata ushindi ili kujiimarisha, huwezi kujua nini kitatokea katika mechi zilizobakia, hakuna ambaye ana uhakika na kile ambacho anakitaka, tutaendelea kujipanga kutafuta matokeo mazuri,” alisema Nabi.
Baada ya mechi ya jana usiku dhidi ya Azam FC, kikosi cha Yanga kitajiandaa na safari ya kuelekea Sumbawanga kuwafuata Tanzania Prisons kwa ajili ya mchezo wa hatua ya 16 Bora ya mashindano ya Kombe la FA utakaochezwa Ijumaa kwenye Uwanja wa Nelson Mandela.
KWANI MERIDIANBET WANASEMAJE! MKWANJA UPO KWENYE KASINO MPYA YA MINI POWER ROULETTE.
Unawezaje kukosa ubingwa ndani ya kasino hii maridhawa, Nafasi ya kushinda mkwanja ni kwa kila mtu, Meridianbet inakupa nafasi ya kuwa mmoja ya washidi leo, unasubiri nini?



dorophina
Mashabiki tunasubilia kuona maajabu hayo
Venerose
Ni mawazo manzur
Issa
Wana jangwan wajikaze
Mariam mtandama
Vizur
Johnmary jo
Haya tunasubili kuona kila raheri kiongozi#meridianbett#
neema hassan
Mashabik tunasubir kwa hamu
aisha
Oky kama ataweza sawa lakini isije ikawa ni mbio za sakafuni
Lydia Emmanuel Magoti
Wakazee buti
Adelta
Inawezekana wakiongeza juhudi
[email protected]
Ni mawazo mazuri
Sarah
Jambo zuri
Magdalena
Waache kujifariji
Theonestina
Wanajifariji tu
Khadija
jambo zuri