Klabu ya Manchester United imetangaza kufikia makubaliano na Juan Mata. Mata ameongeza mkataba wake na United kwa mwaka mmoja.
El Mago alijiunga na United akitokea Chelsea mwaka 2014 ambapo mpaka sasa ameitumikia United kwa jumla ya michezo 273 akiwa ameshafunga magoli 51.

Juan anaheshimika miongoni mwa wafanyakazi na wachezaji wa United ikiwa ni sambamba na uwezo wake ndani na nje ya uwanja kupewa thamani kubwa na Ole Gunnar Solksjaer.
IcyGems kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet. Ndio, ukiwa kwenye nyumba ya mabingwa, ndipo utakapoufurahia ubora wa Kasino ya Mtandaoni sambamba na kushinda kwa ushindi mkubwa! Ishi na hii, IcyGems!

