Mata Kusalia Man United Mpaka 2022

Klabu ya Manchester United imetangaza kufikia makubaliano na Juan Mata. Mata ameongeza mkataba wake na United kwa mwaka mmoja.

El Mago alijiunga na United akitokea Chelsea mwaka 2014 ambapo mpaka sasa ameitumikia United kwa jumla ya michezo 273 akiwa ameshafunga magoli 51.

Mata alipachika magoli 2 kwenye mchezo dhidi ya Liverpool (2015) miongoni mwa magoli yake maarufu akiwa na United.

Juan anaheshimika miongoni mwa wafanyakazi na wachezaji wa United ikiwa ni sambamba na uwezo wake ndani na nje ya uwanja kupewa thamani kubwa na Ole Gunnar Solksjaer.


KUSANYA PESA HAPA!

IcyGems kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet. Ndio, ukiwa kwenye nyumba ya mabingwa, ndipo utakapoufurahia ubora wa Kasino ya Mtandaoni sambamba na kushinda kwa ushindi mkubwa! Ishi na hii, IcyGems!Meridianbet

INGIA MCHEZONI

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.