Msemaji wa uwanja alisema wakati wa mechi hiyo Jumapili kwamba “idadi ndogo” ya watu wameingia uwanjani na kwamba wafanyakazi wa usalama na mawakili walikuwa wakifanya kazi kuwaondoa.

Hata hivyo, kumekuwa na ripoti za watu wasio na tiketi kuwa ndani ya uwanja kwa mechi nzima, na wenye tiketi halisi wanaogopa kukabiliana na watu wanaokalia viti vyao.
Wakati shirikisho likiendelea na jitihada za kubainisha ni nani waliweza kuingia na walitumia mbinu gani, mkurugenzi mkuu wa FA, Mark Bullingham amesema wanashirikiana na polisi, na yeyote atakayebainika kuhusika basi ataondolewa kwenye mchezo.
Ndio, kama bado hujajiunga na Familia ya Mabingwa ya Meridianbet, huu ndio wakati wako! Tunakupatia Bonasi ya 3,500 Tsh papo hapo kama sehemu ya ukaribisho!


