Walioingia Bila Tiketi EURO 2020 Kuchunguzwa

Shirikisho la Soka Uingereza, FA linasema kuwa watafanya uchunguzi kamili juu ya jinsi watu wasio kuwa na tiketi walivyoweza kuvuka vizuizi vya usalama na kuweza kupenya Wembley kwenye fainali ya Jumapili usiku ya Euro 2020.

Msemaji wa uwanja alisema wakati wa mechi hiyo Jumapili kwamba “idadi ndogo” ya watu wameingia uwanjani na kwamba wafanyakazi wa usalama na mawakili walikuwa wakifanya kazi kuwaondoa.

Walioingia Bila Tiketi EURO2020 Kuchunguzwa

Hata hivyo, kumekuwa na ripoti za watu wasio na tiketi kuwa ndani ya uwanja kwa mechi nzima, na wenye tiketi halisi wanaogopa kukabiliana na watu wanaokalia viti vyao.

Wakati shirikisho likiendelea na jitihada za kubainisha ni nani waliweza kuingia na walitumia mbinu gani, mkurugenzi mkuu wa FA, Mark Bullingham amesema wanashirikiana na polisi, na yeyote atakayebainika kuhusika basi ataondolewa kwenye mchezo.


 

JIUNGE NA FAMILIA YA MABINGWA!

Ndio, kama bado hujajiunga na Familia ya Mabingwa ya Meridianbet, huu ndio wakati wako! Tunakupatia Bonasi ya 3,500 Tsh papo hapo kama sehemu ya ukaribisho!

Italia, Italia Bingwa Euro 2020., Meridianbet

JIUNGE SASA!

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.