Klabu ya Liverpool inatarajia kutunishiana misuli na klabu ya Real Madrid kupata saini ya mshambuliaji wa Ufaransa na PSG Kylian Mbappe katika majira yajayo ya kiangazi.

Real Madrid chini ya raisi wa klabu hiyo Florentino Perez wameweka wazi niayao ya kutaka kuwasilisha kiasi cha Euro milioni 120 lakini Liverpool wanataka kuingilia kati dili hilo.
PSG wamegoma kumuuza mchezaji huyo huku akiwa amebakiwa na mwaka mmoja katika mkataba wake wa sasa unatarajiwa kuisha mwishoni mwa msimu huu.
Mbappe anatarajiwa kukutana leo na raisi wa PSG kuongelea mustakabali wake ndani ya klabu hiyo, jana mchezaji huyo hakuudhulia siku ya kuzaliwa ya mchezaji mwenzake Ande Herrera.
Ni muda wa kuwa milionea na kasino za mtandaoni za meridianbet, mchezo wa Sahara Riches unakupa nafasi ya kushinda mkwanja mrefu. Matajiri wa jangwani wanataka wakupe mkwanja leo.



Issa
Mali ya madrid mbape