Kiungo wa Bayern Munich, Leon Goretzka, ameamua kubaki klabuni hapo na hivyo hakuna matumaini ya klabu yeyote kumsajili kwa siku za usoni.
Goretzka alihusishwa sana na Manchester United akitajwa kama mbadala wa Paul Pogba ambaye hatma yake ndani ya kikosi hicho, haijajulikana mpaka sasa.
Taarifa zinasema kuwa, Leon amefikia makubaliano ya kuongeza mkataba wa kusalia Allianz Arena mpaka 2026 na hivyo hakuna uwezekano wa United kumsajili kwa siku za karibuni.
Bayern Munich watakua uwanjani leo usiku kuchuana na FC Barcelona kwenye mchezo wa kwanza wa Ligi ya Mabingwa. Mdhamini shujaa wako kwa kubashiri na meridianbet sasa!
Unaanzaje siku yako na kuimaliza bila kupitia katika kasino bomba za meridianbettz, mchezo mashuhuri wa Disco Funk unaweza kukufanya uwe mshindi leo hii.!


