Nagelsmann: Barcelona sio Wadhaifu

Nagelsmann Kocha mkuu wa Bayern Munich amekubali kuwa mshindani wake timu ya Barcelona kuwa sio wadhaifu japo watamkosa mshambuliaj wao hatari Lionel Messi aliyetimkiwa Paris Saint Germain.

“Barcelona wamempoteza Messi lakini wanawachezaji ambao wanaweza jitoa na kufanya makubwa kama Frenkie de Jong and Pedri,” tuko tayari  kwa lolote.Siamini kama ni dhaifu sana. lakini tunahitaji kuchukua pointi zote tatu.”Nagelsmann alisema alipofanya mkutano na waandishi wa habari kabla ya mechi.

Nageslamann
Julian  Nagelsmann

Barcelona anamkaribisha Bayern huku akiwa na majeruhi ya wachezaji wanne  Ousmane Dembele, Ansu Fati, Martin Braithwaite and Sergio Aguero, wakati Nagelsmann akiwa na mashaka na uwezekano wa Gnabry kucheza ila amesafili na timu Lewandowski yuko vizuri anaweza anza.

Barcelona anamkaribisha  Bayern nyumbani huku akiwa na kumbukumbu ya kupokea kichapo cha goli 8-2 mjini Lisbon katika mechi ya nusu fainali ya ligi ya mabingwa Ulaya mwaka 2020.


MKWANJA NJE NJE NA DISCO FUNK

Unaanzaje siku yako na kuimaliza bila kupitia katika kasino bomba za meridianbettz, mchezo mashuhuri wa Disco Funk unaweza kukufanya uwe mshindi leo hii.!

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.