Nagelsmann Kocha mkuu wa Bayern Munich amekubali kuwa mshindani wake timu ya Barcelona kuwa sio wadhaifu japo watamkosa mshambuliaj wao hatari Lionel Messi aliyetimkiwa Paris Saint Germain.
“Barcelona wamempoteza Messi lakini wanawachezaji ambao wanaweza jitoa na kufanya makubwa kama Frenkie de Jong and Pedri,” tuko tayari kwa lolote.Siamini kama ni dhaifu sana. lakini tunahitaji kuchukua pointi zote tatu.”Nagelsmann alisema alipofanya mkutano na waandishi wa habari kabla ya mechi.

Barcelona anamkaribisha Bayern huku akiwa na majeruhi ya wachezaji wanne Ousmane Dembele, Ansu Fati, Martin Braithwaite and Sergio Aguero, wakati Nagelsmann akiwa na mashaka na uwezekano wa Gnabry kucheza ila amesafili na timu Lewandowski yuko vizuri anaweza anza.
Barcelona anamkaribisha Bayern nyumbani huku akiwa na kumbukumbu ya kupokea kichapo cha goli 8-2 mjini Lisbon katika mechi ya nusu fainali ya ligi ya mabingwa Ulaya mwaka 2020.
Unaanzaje siku yako na kuimaliza bila kupitia katika kasino bomba za meridianbettz, mchezo mashuhuri wa Disco Funk unaweza kukufanya uwe mshindi leo hii.!


