Jimmy Greaves Afariki Dunia Akiwa na Umri wa Miaka 81

Jimmy Greaves mshambuliaji wa Uingereza na timu ya Tottenham  ambaye alikuwa ni miongoni mwa wachezaji ambao walishinda kombe ka dunia akiwa na timu ya taifa  Uingereza afariki dunia akiwa na umri wa miaka 81.

Greaves ambaye anajulikana kama mfungaji aliyekuwa na kipaji cha hali ya juu katika wakati wake, alijenga jina akiwa na chelsea akifunga magoli 132 katika mechi 169, na baadae kwenda kutengeneza ufalme akiwa na Tottenham Hotspur.

Jimmy greaves
Jimmy greaves

Jimmy greaves alizaliwa mwaka 1940 huko East Ham London, na kuanza safari yake ya katika timu ya vijana Chelsea na kuanzia 1957 hadi 1961 na kuamia Ac Milan ambapo alicheza mechi 12 na kufunga magoli 9 tu.

MWAKA

 TIMU

MICHEZO

MAGOLI

1955 – 1961

Chelsea 157

125

1961

Ac Milan 12

9

1961 – 1970

Tottenham 321

220

1970 – 1971

West Ham United 38

13

1975 – 1976

Brentwood

1976 -1977

Chelmsford

1977 – 1979

Barnet 51

16

1979 – 1980 Woodford

 

Pia aliweza kuichezea timu ya vijana Uingereza wenye umri wa miaka 23 mechi 12 na kufunga magoli 13 kuanzia 1957 hadi 1962, na aliitumikia timu ya taifa ya Uingereza kuanzia mwaka 1959 hadi 1967 huku akionekana mara 57 na kufunga magoli 44.

Jimmy Greaves pia alikuwa mchezaji muhimu kwenye mashindano ya kombe la dunia lilichezwa mwaka 1966 na Uingereza kuibuka mshindi wa mashindano hayo huku Greaves akimaliza na kusherekea akiwa majeruhi yaliyomfanya akose mechi ya fainali dhidi ya West Germany.


MKWANJA NJE NJE NA DISCO FUNK

Unaanzaje siku yako na kuimaliza bila kupitia katika kasino bomba za meridianbettz, mchezo mashuhuri wa Disco Funk unaweza kukufanya uwe mshindi leo hii.!

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.