Klabu ya Yanga imepigwa faini ya shilingi Milioni 11 na Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) kutokana na kuvunja kwa baadhi ya sheria na taratibu za mchezo wa ligi ya mabingwa barani afrika walioucheza dhidi ya Rivers United ya Nigeria.

Adhabu hiyo imetolewa na kamati ya nidhamu ya CAF kutokana na malalamiko ya klabu ya Rivers United juu ya baadhi ya viongozi wao kughasiwa na walinzi wa uwanjani (stewards) na baadhi ya mashabiki kuingia uwanjani wakati mchezo huo ambao ulipaswa kuchezwa bila mashabiki.
Taarifa ya kamati hiyo imeeleza Yanga hawakutoa utetezi wowote juu ya malalamiko hayo na kamati hiyo wamewapiga faini Yanga dollar 5,000 USD kutokana na matukio hayo.
Fanya wiki yako iwe ya kuvutia zaidi, tunaelekea Los Angeles kutengeneza mkwanja na kasino maridhawa ya LA Rouge kutoka katika kasino za mtandaoni za meridianbettz, Fursa ya kufurahi huku unajaza pochi yako.

CHEZA HAPA

