FPL (Fantansy Premier League) kuendelea wikiendi hii. Ni wiki ya 8 kunako EPL. Ni muda wa kuendelea kutengeneza faida ukiwa na Meridianbet.
Shindano la wanafamilia wa MeridianbetTZ kunako Fantasy Premier League, linaendelea. Unamfahamu vizuri mshindi wa FPL – GW7, Captain Julius a.k.a Captain J kutoka Arusha? Huyu hapa anakupa nondo za namna alivyovuna pointi 70 katika wiki ambayo ilikuwa ni ngumu kwa wachezaji wa FPL.
Ripota wa Meridianbet alifanya mahojiano mafupi na Captain J baada ya kuibuka kidedea wa Wiki ya 7 na kupata zawadi ya Tshirt pamoja na bonasi kwenye akaunti yake ya Meridianbet. Maongezi yao yalikuwa hivi;
Ripota: Ningependa kujua ni vitu gani huwa unazingatia katika kupanga kikosi chako cha Fantasy?
Captain J: Huwa ninazingatia zaidi ubora wa mchezaji kwa wakati huo, yaani ninaangalia kiwango cha mchezaji husika.
Ripota: Unafanya sub (mabadiliko) au transfer (usajili) mara ngapi kwa kila wiki?
Captain J: Huwa nafanya transfer (usajili) mara 1 kwa kila wiki na sub (mabadiliko) inategemea naweza nikafanya au nisifanye.
Ripota: Vizuri. Je, kwa GW7 ulitumia vigezo gani kupanga kikosi na mfumo wa timu yako mpaka kuibuka kidedea ndani ya MeridianbetTZ Fantasy Premier League?

Captain J: Nilitumia kigezo cha kumpaunahodha Mo Salah sababu kweney big match huwa anajituma sana.
Ripota: Anhaa.. umetisha sana. Mchezo wa fantasy unachip 4. Je, umeshatumia chip yeyote mpaka sasa?
Captain J: Hapana bado
Ripota: Huwa unatumia mbinu au vigezo gani katika matumizi ya chip zako?
Captain J: Huwa ninaangalia wiki ambayo hamna big match ndio natumia hizo chip.
Ripota: Sawasawa. Unaweza kuwaambia nini wachezaji wenzako wa fantasy kuelekea GW8? Kitu gani wazingatie kwenye vikosi vyao na pengine wachezaji gani wa kuwazingatia kwenye utengenezaji wa vikosi?
Captain J: Wasiwaangalie wachezaji wakubwa tu, wazingatie ubora wa mchezaji kwa wakati husika.
Ripota: Asante sana kwa ushirikiano wako. Kila la kheri kwenye wiki zinazofuata.
Captain J: Asanteni sana Meridianbet.
Unaweza kuwa mshindi kama Captain J ukiwa ndani ya Ligi ya MeridianbetTZ kunako Fantasy Premier League (FPL). Kumbuka, washindi wanaondoka na zawadi kedekede kila wiki!
Meridianbet – Bashiri Popote, Wakati Wowote!
Fanya wiki yako iwe ya kuvutia zaidi, tunaelekea Los Angeles kutengeneza mkwanja na kasino maridhawa ya LA Rouge kutoka katika kasino za mtandaoni za meridianbettz, Fursa ya kufurahi huku unajaza pochi yako.

CHEZA HAPA

