Mfanyabiashara Kwenda Jera kwa Kifo cha Emiliano Sala

Mfanyabiashara kwenda jera kwa miezi 18 kwa kusababisha ajari ya ndege ambayo ilimuua mchezaji wa mpira Emiliano Sala na rubani wake David Ibbotson.

Mshambuliaji huyo mweye umri wa miaka 28 na rubani David Ibbotson mwenye miaka 59 kutoka Crowle, Lincolnshire walikufa walipokuwa wanaingia kwenye anga la Uingereza mwezi januari 2019 kukamilisha dili la uhamisho.

sala
Sala

David Henderson mwenye miaka 67 alikutwa na hatia ya kuhatarisha na kujaribu kupanga safari kwa abiria pasipo kibari wala uthibitisho wowote, safari hiyo ilipangwa na Henderson ambaye alikuwa msimamizi wa ndege akishirikiana na wakala wa mchezaji William “Willie” McKay.

Katika kipindi hicho Sala alikuwa anajaribu kufanikisha uhamisho wa dili la kwenda Cardiff City akitokea Nantes FC lenye thamani ya £15 millioni na alikuwa anasafiri katikikati ya majiji mawili alipokutwa na umauti.

Baada ya uchunguzi kukamilika na taasisi zote zilizokuwa zinashughulika na upepelezi kukamilika na kuwasilisha taarifa za chanzo cha ajari hiyo mahakamani, bwana David Henderson amekutwa na hatia na kuhukumiwa kwenda jera kwa miezi 18. Huku klabu ya cardiff city ikijiandaa kufanya maadhimisho ya kumbukumbu ya kifo cha Sala.


NJIA RAHISI YA MKWANJA NA TITAN DICE

Unawezaje kuikosa hii! njia rahisi ya kutengeneza mkwanja katika kasino maridhawa za meridianbet. Muda wa kufurahia na kutengeneza mkwanja ipo mikononi mwako unasubiri nini?

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA SASA

 

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.