Lampard Ajitoa Kinyang'anyiro cha Kuinoa Norwich

Lampard amejitoa kwenye kinyang’anyiro cha kuinoa klabu ya Norwich City na kumwachia nafasi Dean Smith kuwa kocha anayepewa kipaumbele kuweza kibeba mikoba hiyo.

Lampard alifanya mazungumzo na klabu ya Norwich kuhusu kuchukua mikoba iliyoachwa na Daniel Farke, lakini kwa sasa ameamua kujiondoa kwenye kinyang’anyiro hicho.

Lampard
Frank Lampard

Kutoka kwenye chanzo cha ndani ya klabu ya Norwich kinasema kwa sasa Frank hana tena shauku ya kutaka kuchukua mikoba hiyo na ameamua kujieng’ua mwenyewe baada ya mazungumzo.

Kwasasa Smith ndio anapigiwa chapuo la kuingonza Norwich baada ya kufungashiwa virago na klabu ya Aston Villa wiki iliyopita, huku akigeuka kuwa chaguo namba moja kwnye klabu ya Norwich City.

lampard
Dean Smith

Norwich City kwenye msimamo wa ligi kuu ya Uingereza inashika nafasi ya mwisho 20, huku wakiwa sawa pointi na klabu ya Newcastle wakitofautiana idadi ya magoli ya kufunga na kufungwa.


NJIA RAHISI YA MKWANJA NA TITAN DICE

Unawezaje kuikosa hii! njia rahisi ya kutengeneza mkwanja katika kasino maridhawa za meridianbet. Muda wa kufurahia na kutengeneza mkwanja ipo mikononi mwako unasubiri nini?

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA SASA

Acha ujumbe