Tammy Abraham: Mourinho Kanifunza Kuwa Mnyama

Mshambuliaji wa As Roma tammy Abraham ameelezea siri ya kuwa imara uwanjani aliyofundisha na kocha wake Jose Mourinho ni kuwa “monster” sio kuwa mtu laini laini uwanjani.

Tammy Abraham ambaye alianzia maisha yake ya soka kwenye akademi ya Chelsea mpaka akapandishwa timu ya wakubwa baada ya kutokupata nafasi ya kucheza mara kwa mara akapelekwa kwa mkopo kwenda klabu za Bristol City, Swansea City, Aston Villa na kurudi tena Chelsea na kuuzwa kwenda klabu ya Roma.

tammy abraham

Alipoulizwa ni kwa kiasi gani Mourinho amemsaidiaje, alijibu ni “kuwa mnyama kweli”, nafikilia kitu kimoja alichoniambia, nilikuwa laini laini na nahitaji kuwa mtu wa nguvu kama mshambuliaji”

“Sio swala la kuwa laini kwenye uwanja, unahitaji kuwa mtu wa nguvu, ili uwepo wako uwaogopeshe mabeki nadhani hicho ndicho nilichojifunza na naendelea kukifanyia kazi.” Aliongezea Abraham

Tammy abraham

Abraham ambaye ameitwa tena kwenye kikosi cha Uingereza hivi karibuni kwenye michuano ya kufuzu kombe la Dunia nchini Qatar, sifa zote alizipeleka kwa kocha wake Jose Mourinho.

Abraham alisajiriwa na As Roma akitokea Chelsea kwa ada ya usajiri ya kiasi cha £34 million kwa mkataba wa miaka mitano, huku pia kukiwa na kipengele cha chelsea kuweza kumnunua tena kwa kiasi cha £68 million lakini lazima awe amecheza misimu miwili.


NJIA RAHISI YA MKWANJA NA TITAN DICE

Unawezaje kuikosa hii! njia rahisi ya kutengeneza mkwanja katika kasino maridhawa za meridianbet. Muda wa kufurahia na kutengeneza mkwanja ipo mikononi mwako unasubiri nini?

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA SASA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.