Tetesi za Soka Barani Ulaya.

 

Tetesi zinasema, Barcelona wanapanga kuwasajili wachezaji watatu wa Chelsea – kiungo wa Morocco Hakim Ziyech, 28, winga wa England Callum Hudson-Odoi, 21, na kiungo wa Marekani Christian Pulisic, 23.

Tetesi zinasema, Borussia Dortmund wamekuwa wakiwasiliana na wakala wa Ziyech huku wakitaka huduma ya mchezaji huyo kwa mkopo mwezi January.

Manchester United iliachana na mpango wa kumleta Meneja anayeinoa Tottenham kwa sasa Antonio Conte kwa sababu ya muitalia huyo kutaka bajeti kubwa ya kiasi cha £250m kwa ajili ya usajili.

 

Manchester United wanamatumaini ukaribu wa Zinedine Zidane na Cristiano Ronaldo na Raphael Varane unaweza kumshawishi kujiunga na klabu hiyo na kuwa Meneja kama Ole Gunnar Solskjaer atatimuliwa.

Tottenham na Manchester City zimefahamishwa kwamba zinaweza kumsajili mshambuliaji wa Fiorentina na Serbia Dusan Vlahovic, 21 mwezi Januari, lakini kama watalipa £70m.

Tetesi zinasema, Kiungo wa Uholanzi Donny van de Beek, 24, ameamua kuondoka Manchester United mwezi Januari, Wolves ni moja ya vilabu vinavyomuwania.

Tetesi zinasema, Manchester United itamruhusu kipa wake wa England Dean Henderson, 24, kuondoka kwa mkopo wa miezi 18.

 

Kiungo wa Juventus na Ufaransa Adrien Rabiot, 26, ananyatiwa na Newcastle United.

Tetesi zinasema, Chelsea inamfuatilia mshambuliaji wa Napoli na Italia Lorenzo Insigne, 30.

Real Madrid itapambana na Chelsea katika mbio za kumsajili kiungo wa Monaco na Ufaransa Aurelien Tchouameni, 21.

Wolves inataka kubadilisha mkopo wa mshambuliaji wa Korea Kusini Hwang Hee-chan kutoka RB Leipzig na kumsajili moja kwa moja huku vilabu vya Liverpool na Manchester City pia zikimuwania nyota huyo mwenye umri wa miaka 25.


Wiki Njema na Crazy Time Casino!

Unasababu milioni za kucheza unavyotaka ukiwa na mabingwa meridianbet, lakini unasababu moja ya kushinda mamilioni katika kasino za mtandaoni za meridianbet. Mchezo maridhawa wa Crazy Time unakupa sababu hizo kuwa mmoja wa washindi leo hii.

 

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.