Ndondi: Munguia Amchapa Rosado kwa Pointi

Bondia ambaye hajashindwa wa WBC na WBO namba 1, WBA namba 4, IBF namba 9 uzito wa kati Jaime Munguia (38-0, 30 KOs) alishinda kwa uamuzi wa majaji kwa raundi 12 dhidi ya Gabriel Rosado (26-13-1, 15 KOs) WBA namba 4, WBC namba 9, WBO namba 11 aliyekadiriwa kuwa “Mfalme” wa uzani wa super middle siku ya Jumamosi usiku katika Kituo cha Honda huko Anaheim, California.

Ndondi: Munguia Achapa Rosado kwa Pointi

Rosado alipiga ngumi nyingi safi, lakini upigaji ngumi wa nguvu wa Munguia na kasi ya kurusha ngumi bila kuchoka alimshinda raundi nyingi zaidi. Alama zilikuwa 118-110, 119-109, 117-111.

Jaime Munguia: “Sikufikiria kama Rosado angedumu kwa muda mrefu hivyo uringoni. Alikuwa mstahimilivu sana, lakini nadhani nilionyesha katika raundi ya tisa na kwamba nilikuwa nikitawala pambano. Nina furaha tumeweza kuchukua ushindi leo. Sasa, nataka kurejea kwenye gym, kufanyia kazi mambo machache na kupigania  taji la dunia au ubingwa wa dunia wa 160.”

Gabriel Rosado: “Nadhani nilifanya kila niwezalo kushinda, maamuzi ya majaji ni ujinga. Nilishinda pambano hilo.”


NJIA RAHISI YA MKWANJA NA TITAN DICE

Unawezaje kuikosa hii! njia rahisi ya kutengeneza mkwanja katika kasino maridhawa za meridianbet. Muda wa kufurahia na kutengeneza mkwanja ipo mikononi mwako unasubiri nini?

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA SASA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.