Farhan Jr - Simba Ikishinda Ligi Kuu Mara Tano ni Dhambi ?

Anaandika moja ya wachambuzi wa soka kupitia kurasa wake wa mtandao wa kijamii jr Farhan Jr

“Ukikaa vijiweni utasikia haiwezekani Simba kubeba ubingwa mara tano mfululizo kivyovyote! Kwanini iwe dhambi? Kwanini kama ana uwezo asichukue?

Profesa anasema hii ni sumu iliyojengwa ambayo mwishowe tutaona mengi ya kutisha, tutaona mengi ambayo hayapo sawa kwakuwa ni dhambi Mnyama kuondoka na tano

Ni ugonjwa wa kidunia, mara nyingi binadamu ana tabia ya kukinai! Huenda watu wamekinai ubora wa Simba, huenda watu wanataka bingwa mpya! Mind you watu wanachukia CONSISTENCY

Farhan Jr
Farhan Jr
Farhan Jr anaendelea kuyasema ya proffesa kua “One thing about football is not about football” yani kitu kimoja kuhusu mpira wala hakihusu mpira, kuna vitu vya nje ya mpira vinaathiri mpira duniani kote

Profesa anasema, suala la waamuzi duniani kote ni kupita hatua kwa hatua! Unaweza kuchezesha ligi ya mabingwa mikoa, ukaja Daraja la pili kisha Championship na baadae Ligi kuu

Mna uhakika Waamuzi wetu wanapita kwenye ranks zote? Mna uhakika wana uzoefu wa kutosha? Mtakuja tena kuhoji kwanini Waamuzi wengi hawachezeshi michuano ya Afrika? Majibu mnayo

England hawakuwa na Mwamuzi yoyote WORLD CUP 2018, Walisema wazi hawakupeleka jina la Michael Oliver kwakuwa wanaona hajakidhi, je huku kwetu nani anaassess, je yupo fair? Tujiulize

Profesa anamaliza kwa kusema! Mnapoona Viongozi wanafukuza Makocha bila kuogopa basi mjue wanajua Ushindi unapatikana vipi! One thing about football is not about football”


PANDISHA THAMANI YA DAU LAKO NA FAI CAI SHEN

Wiki nyingine ya kushinda mamilioni ukiwa na kasino maridhawa za meridianbettz. Mchezo pendwa wa Fai Cai Shen unakupa thamani ya dau lako, kwa kiasi kidogo cha dau unaweza kushinda mkwanja mrefu.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.