Luis Enrique Aje Manchester United - Christiano Ronaldo

Wakati dunia ikiamini kuwa Manchester United inafanya mipango ya kumpa ajira Zinedine Zidane kuwa kocha wa timu hiyo, inadaiwa staa wa timu, Cristiano Ronaldo anapendekeza jina la kocha mwingine kabisa.
Luis Enrique
Luis Enrique

Ronaldo amempendekeza Luis Enrique ambaye amewahi kuwa kocha wa Barcelona.

Ronaldo anataka Luis Enrique ndiye awe mrithi wa Solskjaer badala ya Zidane ambaye wamewahi kufanya kazi pamoja na kwa mafanikio makubwa Real Madrid.
Luis Enrique
Luis Enrique

Makocha wengine wanaotajwa kuwa wanaweza kupata nafasi ya kuinoa Man  ni Erik ten Hag wa Ajax, Mauricio Pochettino wa Paris Saint-Germain na Brendan Rodgers wa Leicester City.

Enrique amekuwa akiinoa Hispania tangu mwaka 2019, kocha huyo mwenye umri wa miaka 51 aliifundisha Barcelona kwa mafanikio makubwa akibeba LaLiga mara mbili na Champions League mara moja.


PANDISHA THAMANI YA DAU LAKO NA FAI CAI SHEN

Wiki nyingine ya kushinda mamilioni ukiwa na kasino maridhawa za meridianbettz. Mchezo pendwa wa Fai Cai Shen unakupa thamani ya dau lako, kwa kiasi kidogo cha dau unaweza kushinda mkwanja mrefu.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.