Tuchel Hana Uhakika kama Lukaku Atacheza Dhidi ya Juve

Kuelekea mchezo wa Ligi ya Mabingwa siku ya Jumanne kocha Thoams Tuchel hana uhakika kama Romelu Lukaku anaweza kurejea kwa aajili ya mchezo huo wakati pia Kai Havertz hatocheza kabisa.

Tuchel Hana Uhakika kama Lukaku Atacheza Dhidi ya Juve

Chelsea watawakaribisha timu ya Juventus katika uwanja wa Stamford Bridge kwaajili ya mchezo wa marudiano kwenye Champions League.

Lukaku amekuwa nje ya dimba yapata mwezi sasa sababu ya jeraha la kifundo cha mguu lakini ni kama yupo karibu kupona kabisa.

Starika huyo alikuwa ameanza mazoezi na timu ya Chelsea wiki iliyopita lakini Tuchel hana haraka ya kumchezesha kwenye mchezo wa Jumanne.

“Sina uhakika bado. Alionekana yuko sawa mazoezini jana Jumapili, tutaangalia kuhusu majibu.

“Ana miadi na madaktari. Labda tunaweza kuweka wachezaji 20 kwenye kikosi. Dakika za mwisho zingekuwa za juu kabisa.

“Jorginho yuko sawa kabisa. Kai alikuwa na tatizo la misuli ya paja hivyo tulimtoa na tuna mashaka naye.


PANDISHA THAMANI YA DAU LAKO NA FAI CAI SHEN

Wiki nyingine ya kushinda mamilioni ukiwa na kasino maridhawa za meridianbettz. Mchezo pendwa wa Fai Cai Shen unakupa thamani ya dau lako, kwa kiasi kidogo cha dau unaweza kushinda mkwanja mrefu.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.