Roman Abramovich Ashinda Kesi

Mmiliki wa klabu ya Chelsea Roman Abramovich ameshinda kesi ambayo alishitakiwa na Harper Collins kuhusu kuinunua klabu ya Chelsea ilikuwa ni amri ya kutoka kwa rais wa urusi Vladimir Putin.

Abramovich mwenye miaka 55 mahakama imempa hati safi dhidi ya kesi ya kuchafuliwa kuhusu kashfa ya ununuzi wa klabu ya Chelsea, iliyowasilishwa dhidi yake na sasa anaweza kuendelea na shughuri zake ikiwa atahitaji kumfungulia kesi Harper Collins dhidi ya kumchafulia jina anaruhusiwa.

Roman Abramovich

Harper aliwasilisha mashitaka hayo kuwa mwaka 2000 Roman Abramovich aliamrishwa na Putin kununua klabu hiyo kwa ada ya £150million mahakamani huku Roman akikataa na jusema sio kweli bal ni kumchafua yeye na klabu kwa ujumla .

Roman Abramovich anaweza kuendelea baada ya kesi awali kuweza kushinda baada ya jaji kuhitaji kuwa bwana Roman Abramovich asafishe jina lake haraka iwezekanavyo kutokana na kuchafuliwa na kesi hiyo.


PANDISHA THAMANI YA DAU LAKO NA FAI CAI SHEN

Wiki nyingine ya kushinda mamilioni ukiwa na kasino maridhawa za meridianbettz. Mchezo pendwa wa Fai Cai Shen unakupa thamani ya dau lako, kwa kiasi kidogo cha dau unaweza kushinda mkwanja mrefu.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.