Benzema Kuikosa Inter Milan

Karim Benzema anawasiwasi wa kuukosa mchezo wa ligi ya mabingwa Ulaya dhidi ya Inter Milan kutokana na mejeraha aliyoyapata kwenye mchezo dhidi ya Real Sociedad kwenye ligi kuu ya nchini Hispania La Liga.

Mshambuliaji huyo wa kifaransa alitolewa dakika ya 17 kwenye mchezo ambao Real Madrid walishinda 2-0 dhidi ya Real Sociedad siku ya jumamosi, alipata majeraha ya paja na kutolewa na nafasi yake kuchukuliwa na Luka Jovic ambaye aliweza funga goli lake la kwanza kwenye La Liga na kuweza kusaidia kupatikana lingine lililofungwa na Vinicius.

benzema

Madrid tayari wameshafuzu kwenye hatua ya mtoano kwenye ligi ya mabingwa Ulaya lakini hawatakubali kupoteza kwenye uwanja wa nyumbani Santiago Bernabeu na kukosekana kwa Benzema ni pigo kubwa sana kwao.

Real Madrid kumkosa benzema kwenye mchezo wa Jumanne ni pigo, Benzema mpaka sasa amefunga magoli 12 na amesaidia kupatikana magoli 7 kwenye La Liga na kwenye ligi ya mabingwa Ulaya pia amefunga magoli 5.


MUDA WA KUJIACHIA NA CARNAVAL JACKPOT

Mabingwa Meridianbet hawajawahi kukuacha mnyonge hasa katika kipindi hiki cha msimu wa sikukuu, kasino maridhawa ya Carnaval Jackpot inakupa thamani ya dau lako. Kuwa mmoja wa washindi leo hii.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.