Jumatatu, vilabu vya EPL vinakutana na kufanya majadiliano kama kuna ulazima wa kuchukua maamuzi ya kuahirisha mechi katika kipindi cha aina mpya ya virusi vya corona.

Kwa mujibu wa The Athletic, wiki ya mechi ya 20, yenye mechi za kuanzia tarehe 28 hadi 30 inatajwa kuathirika na mpango huo.
Baada ya majadiliano, maamuzi ya kuahirisha mechi yanatarajiwa kuwekwa wazi Jumatatu mchana.
Baadhi ya mechi zimeahirishwa wiki iliyopita, huku Liverpoool pia wakilazimika kucheza bila wachezaji wao Virgil van Dijk, Fabinho na Thiago Alcantara ambao waliripotiwa kuwa na COVID.
Nani hapendi kuwa bingwa na kujishindia mkwanja wa kusahato kuelekea katika sikukuu wiki hii. Mchezo wa Ocean Call kutoka kasino maridhawa za meridianbettz unakupa kila sababu ya kuifanya siku kuu yako kuwa ya kuvutia zaidi.


