Tetesi zinasema, Manchester City itaokoa pesa kutokana na mauzo ya mshambuliaji Ferran Torres, 21, kufadhili uhamisho wa mshambuliaji wa Borussia Dortmund, Erling Braut Haaland, 21, msimu wa joto.
Arsenal inataka kumsajili mshambuliaji wa Sevilla Youssef En-Nesyri kama mbadala wa Dominic Calvert-Lewin na Dusan Vlahovic ambao wanapatikana kwa gharama kubwa.
Tottenham wako tayari kumuachilia kwa mkopo kiungo wakati wa Uingereza Dele Alli, 25, mwezi Januari, na beki wa Ireland Matt Doherty, 29, anaweza kuondoka kwa mkataba wa kudumu.

Winga wa Ufaransa Ousmane Dembele, 24, amekubali mkataba mpya wa miaka mitano na Barcelona, kwa masharti yaliyopunguzwa, na atatia Saini makubaliano hayo wiki ijayo.
Tetesi zinasema, Kiungo wa kati wa Uingereza Kalvin Phillips, 26, anayehusishwa kuelekea Manchester United, anataka kurefusha mkataba wake na Leeds United.
Roma wanafanya mazungumzo ya kumsajili kwa mkopo kiungo wa kati wa Arsenal na Uingereza Ainsley Maitland-Niles, 24, mwezi Januari dirisha la uhamisho litakapofunguliwa.
Tetesi zinasema, Mshambuliaji wa Orlando City na Marekani Daryl Dike, 21, anasakwa na klabu kadhaa za Uingereza ikiwemo West Ham, Newcastle, Brighton, Leeds na West Brom.

Atletico Madrid inatarajia kupokea dau la kumuuza beki wa Uingereza wa miaka 31- Kieran Trippier kutoka kwa Newcastle United mwezi Januari.
Tetesi zinasema, West Ham, Crystal Palace na Brighton ni miongoni mwa klabu zinazomtaka mshambuliaji wa Arsenal Muingereza English Eddie Nketiah, 22.
Newcastle United wamesitisha kumnunua mshambuliaji wa Manchester United na Ufaransa Anthony Martial, 26, kwa sababu itawagharimu pauni milioni sita kumchukua kwa mkopo kwa kipindi cha pili cha msimu.
Nani hapendi kuwa bingwa na kujishindia mkwanja wa kusahato kuelekea katika sikukuu wiki hii. Mchezo wa Ocean Call kutoka kasino maridhawa za meridianbettz unakupa kila sababu ya kuifanya siku kuu yako kuwa ya kuvutia zaidi.


