Mshindi mara saba wa Ballon d’Or winner Lionel Messi ni miongoni mwa wachezaji wanne wa Paris Saint-Germain wenye maambukizi ya Uviko-19 baada kupima kabla ya mchezo wa kombe French Cup kesho Jumatatu.
Klabu ya PSG ilimuongeza mfanyakazi wake mmoja ambaye alikuwa na maambukizi ya Uviko-19 kwenye waraka walioutoa siku ya Jumamosi, lakini hakuna mwingine yeyote aliyetajwa kuwa anamambukizi.

Leo siku ya Jumapili PSG wametangaza wachezaji wanne ambao wamepata maambukizi ya Uviko-19, ambapo awali hawakuonesha dalili yoyote ile, wachezaji hao ni Messi, mlinzi wa kushoto Juan Bernat, Sergio Rico na kinda mwenye miaka 19 Nathan Bitumazala.
Wachezaji wote hao akiwemo na Messi watakosa michezo kadhaa ukiwepo mchezo wa kesho dhidi ya Vannes kwenye mzunguko wa tatu wa kombe la Ufaransa, Messi, Bernat, Rico na Bitumazala kwa sasa wamejitenga huku wakiendelea kupata matibabu.
Unaanzaje siku yako katika msimu huu wa sikukuu, mchongo upo meridianbet kasino. Sloti pendwa ya Sahara Richies inaweza kukufanya ukawa milionea katika kufunga mwaka huu, Jiunge na ufurahie kasino maridhawa kutoka nyumba ya mabingwa.

CHEZA HAPA

