Romelu Lukaku Kuwakosa Liverpool

Romelu Lukaku hajajumuishwa kwenye kikosi ambacho kitakutana na Liverpool kwenye mchezo wa leo Jumapili ambapo hivi karibuni alizua taharuki kwa kauli yake tata aliposema kuwa hafurahi nafasi anayopewa ndani ya Chelsea.

Kocha mkuu wa Chelsea hakuweza kuficha hisia za kutokulizishwa na kauli ya Romelu Lukaku alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari alisema atatafuta muda wa kuweza kuzungumza na Romelu Lukaku.

Romelu Lukaku

“Sipendi hii, lakini sitaki kufanya hili kuwa kubwa kuliko ukawaida . ni rahisi kuzungumza nje ya muktadha.” alisema Tuchel

Lukaku, ambaye alisajiriwa na uhamisho wa uliovunja rekodi ya klabu ya chelsea kwa ada ya uhamisho wa £96.4 million majira ya kiangazi, huku akirejea mazoezini wiki iliyopita baada ya kuwa nje akiuguza majeruhi yaje ya goti.

Kukosekana kwake katika mchezo muhimu wa leo kunatengeneza sintofamu kubwa kwani Chelsea wako nyuma kwa point 11 dhidi ya nayeongoza ligi Man City, na mchezo wa leo ni muhimu sana kwa Chelsea kushinda.


KUWA MILIONEA MSIMU WA SIKUKUU NA SAHARA RICHIES

Unaanzaje siku yako katika msimu huu wa sikukuu, mchongo upo meridianbet kasino. Sloti pendwa ya Sahara Richies inaweza kukufanya ukawa milionea katika kufunga mwaka huu, Jiunge na ufurahie kasino maridhawa kutoka nyumba ya mabingwa.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.