Tottenham Wafanya Mazungumzo na Jesse Lingard

Klabu ya Tottenham imaefanya mazungumzo na winga wa klabu ya Manchester United ya kutaka kumrejesha jijini London baada mkataba wake kufika tamati mwisho wa msimu huu.

Nyota huyo mwenye umri wa miaka 29, anatarajia kuondoka pindi tu mkataba wake utakapofika tamati, huku kocha wa klabu ya Tottenham Antonio Conte amekuwa akipiga hesabu za kupata huduma ya winga huyo hukuakimpigia hesabu ya dirisha hili au la majira ya kiangazi.

Wawakilishi wa klabu ya Tottenham wamekuwa wakifanya mawasiliano ya mara kwa mara ili kuweza kuhakikisha anatua kaskazini mwa London, pia klabu ya West Ham nayo iko kwenye mbio za kumrudisha mchezaji huyo ambae alionyesha kiwango kizuri alipokuwa kwa mkopo akitokea klabu ya Man Utd msimu uliopita.

Jesse Lingard amekuwa hapati nafasi mara kwa mara kwenye klabi hiyo na kupelelea makubaliano ya mkataba kati yake na klabu kuwa magumu, ila kwa sasa klabu ya Manchester United  ipo kwenye mikatati ya kumbakisha mchezaji huyo japo Jesse anatarajia kuachana na miamba hiyo majira ya kiangazi.


JIACHIE NA ALMIGHTY AZTEC

Ni muda wako kujiachia na mchezo maridhawa wa Almighty Aztec katika kasino bomba za meridianbettz. Nafasi ya kutengeneza mkwanja iko mikononi mwako kazi ni kwako.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.