Barcelona: Uongozi Uliopita Kuchunguzwa kwa Ubadhirifu

Ungozi wa klabu Barcelona uliopitwa ukiongozwa na raisi aliyepita Josep Maria Bartomeu, kuchunguzwa na ofisi ya mashataka kutokana na matumizi mabaya ya madaraka.

Uchunguzi wa uongozi huo unakuja baada ya malalamiko yaliolipotiwa siku ya jumatano na uongozi wa sasa ukiongozwa na raisi Joan Laporta, uchunguzi huo umenza rasmi leo ijumaa kuchunguza ikiwa kuna uwezekano wa uhujumu uchumi kwenye klabu hiyo, na kufanya maamuzi kama swala hili lianhitajika kupelekwa police au la.

Barcelona
Barcelona

Bodi ya sasa walifungua kesi hiyo ya malalamiko kwa misingi ya kutafuta uhalali wa taarifa ya kimahakama, kwa kusudi la kuweza kuchambua maswala ya fedha kwenye uongozi wa Bartomeu ili kuweza kuhakikisha ikwa kuna matumizi mabaya yalifanyika.

Waraka uliotolewa siku ya jumatano  na kutangazwa na Laporta siku ya alhamisi uliandikwa kuwa “klabu tayari imechukua hatua, kwa kufungua malalamiko kwa mwendesha mashitaka ili kuweza kupata kibali cha taarifa ya mahakama.”

Ukaguzi wa ndani ulifanyika na kuwasilishwa mwezi wa Oktoba na mkurugenzi wa klabu ya Barcelona Ferran Reverter alisema “klabu ilikuwa imefilisika wakati Laporta anapokea kijiti cha kuongoza klabu hiyo mwezi machi mwaka uliopita”, na klabu hiyo ilikuwa na deni la kiasi 1.35 billion euro.


VUNA MKWANJA NA KENO

Dakika tano pekee zinakutosha kuwa mmoja wa washindi wa mkwanja mrefu ndani ya kasino pendwa ya meridianbettz katika sloti maridhawa ya KENO, moja ya michezo inayoipa thamani dau lako.

tetesi, Tetesi za Soka barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.