Lampard Asisitiza Umoja Goodison Park

Kocha mkuu wa klabu ya Everton Frank Lampard amewataka wachezaji wake kuwa pamoja licha kukubali kipigo cha aibu cha 5-0 kutoka kwa Tottenham siku ya Jumatatu na amekiri kuwa tayari kwa vita ya kuepuka kushuka daraja.

Everton imeketi katika nafasi ya 17 kwenye msimamo wa EPL wakiwa na jumla ya alama 22 wakati zikiwa zimesalia mechi 13 ligi kufika tamati na ni alama chache zaidi katika historia ya klabu kwa msimu mmoja katika hatua hiyo.

Wakati Lampard akiugulia maumivu ya kichapo hicho lakini aliwasisitiza wachezaji wake kuwa kitu kimoja kuelekea michezo ijayo ya nyumbani dhidi ya Wolves na Newcastle.

“Tunapaswa kufikiria picha kubwa bado kuna michezo 13 imesalia na nane kati ya hiyo tutakuwa nyumbani,” Lapmard aliiambia Sky Sports.


VUNA MKWANJA NA SHINDANO LA EVOPLAY SPRING AWEKING

Mchongo mpya mjini ni Shindano la Evoplay Spring Aweking katika kasino maridhawa za meridianbettz. Pata mgao wako wa TSh 25,000,000  katika michezo kibao ya kasino na sloti ziliyochaguliwa kushiriki.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

SOMA ZAIDI HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.