Dejan Kulusevski Kukamilisha Uhamisho wa Kudumu Spurs!

Tottenham Hotspur wako tayari kukamilisha uhamisho wa kudumu wa Dejan Kulusevski, kwa mujibu wa ripoti.

Winga huyo alijiunga na Spurs kwenye soko la uhamisho la mwezi Januari kwa mkataba wa mkopo wa miezi 18 akitokea Juventus, mkopo ambao ulikuwa wa thamani ya £8.43m, na kulikuwa na masharti kadhaa yaliyowekwa katika mkataba huo.

Tangu wakati huo, mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 21 amecheza mechi nane za Premier League akiwa chini ya Antonio Conte, akifunga mara mbili kwa kipindi hicho.

Kwa mujibu wa Fabrizio Romano, klabu hiyo inafuraha kumleta Kulusevski ikiwa kama sehemu ya maono yao ya muda mrefu, huku kifungu cha lazima cha ununuzi kikihusishwa ikiwa klabu hiyo itafuzu Ligi ya Mabingwa msimu ujao.

Kwa sasa Tottenham Hotspur wapo nafasi ya saba kwenye msimamo wa ligi.


SHAOLIN FORTUNES 100 ONJA LADHA YA USHINDI

Maana ya ushindi mkubwa ipo hapa katika mchezo wa SHAOLIN FORTUNES 100 ndani ya kasino maridhawa za meridianbettz. Kwa dau dogo unashinda zaidi, unaweza kucheza mara nyingi uwezavyo huku ukifurahia ladha ya ushindi.

liverpool, Liverpool Kila Mtu Ashinde Mechi Zake., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.