Xavi Anachekelea Tu Anaisubiri El Classico

Kocha mkuu wa Barcelona Xavi Hernandez anaendelea kufurahia mafanikio ndani ya Barcelona akiwa ameleta matokeo chanya kwa ujio wake huko Camp Nou akiwa hajapoteza kwenye zaidi ya michezo 10 mpaka sasa akifanikiwa kuisogeza Barca mpaka nafasi ya tatu kwenye msimamo wa LaLiga.

Barcelona walitolewa katika hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa kwa mara ya kwanza tangu mwaka 2004 na wakajiunga na Europa Laegue na sasa wamefanikiwa kusonga hatua robo fainalibaada ya kuwafunga Galatasaray siku ya Alhamisi kwa agregatte ya 2-1.

The Blaugrana wameshinda mchezo huo wakiwa wanajua wikendi hii watakuwa a safari mpaka jiji la Madrid kwaajili ya mchezo wa marudiano na Real Madrid katika LaLiga na Xavi alismea.

“Tupo kwenye fomu nzuri kwa sasa kuelekea mchezo wa El Classico,lakini hilo halimaanishi chochote.

“Nimepitia nyakati tofauti kwenye El Classico kuna wakati tulicheza vibaya na tulishinda na kuna wakati tulicheza vyema lakini tulipoteza, Jumapili hadithi itakuwa ya tofauti ni mchezo mgumu.


SHAOLIN FORTUNES 100 ONJA LADHA YA USHINDI

Maana ya ushindi mkubwa ipo hapa katika mchezo wa SHAOLIN FORTUNES 100 ndani ya kasino maridhawa za meridianbettz. Kwa dau dogo unashinda zaidi, unaweza kucheza mara nyingi uwezavyo huku ukifurahia ladha ya ushindi.

liverpool, Liverpool Kila Mtu Ashinde Mechi Zake., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe