Binadamu hatuna adabu na mpira hauna fadhila. Ronaldinho Gaucho anaondoka kwenda Barcelona, Jay Jay Okocha anaenda Bolton Wanderers. Hakuna aliyelikumbuka jasho la Jay Jay Okocha nyuma ya Ronaldinho Gaucho.

Hakuna aliyezikumbuka pasi za Okocha zilizompa Gaucho tuzo ya mchezaji bora Ufaransa. Dunia iliyatazama matunda tu ikausahau mti uliyoyabeba tangu utotoni. Naizungumzia hadithi ya kuusifu ubora wa sufuria na kusahau kuni zilizoteketea kuivisha chakula. Ndicho kilichotokea hapa kwa Okocha.

Jay Jay Okocha
Jay Jay Okocha

Sahau hiyo hadithi. Hapa na’test’ mitambo tu. Shughuli nzima bado. Baada ya kumuhurumia ndugu yenu kwenye ile makala ya De Lima. Naona amejisahau anataka kujaribu bahati yake tena. ANATAKA KUJARIBU TENA.

Sasa sitaki kuongea sana, majibu yatatoka Ijumaa saa saba mchana. Tunashuka na Jay Jay Okocha. Wewe utaamua ipi kuni na upi mkaa. Utaamua wewe. Ijumaa saa saba mchana. USISAHAU. USIKOSE. Mwambieni ndugu yenu asitoroke


BONASI YA 50% KILA SIKU KATIKA KASINO ZA EVOPLAY HAPA MERIDIANBET.

Meridianbet na Evoplay Kasino wanakupa bonasi ya 50% ya kiasi utakachoweka katika akaunti yako leo. Unasubiri nini ni wakati wa kupiga pesa sasa na Mabingwa.

tuchel, Tuchel :Tuna Bahati Tottenham Wametusaidia Kazi., Meridianbet

SOMA ZAIDI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa