Kasino Mtandaoni : Ujue Mchezo wa TITAN ROULETTE

Kasino mtandaoni, leo nataka nikufunze kuhusu mchezo bomba wa TITAN ROULETTE unapatikana kwenye meridianbet kasino pekee moja ya michezo bora zaidi ya kasino.

TITAN ROULETTE inajumla ya namba 36 ikianza kwa series ya 1-36 na unaweza kuchagua namba zaidi ya moja na namba yeyote utakayo ichagua itazidishwa mara 36 kwa kiasi cha pesa yako uliyoweka ikiwa itashinda.

Kasino mtandaoni
Kasino mtandaoni

TITAN ROULETTE inamcha guoa zaidi ya kumi na moja inayokupa wewe wepesi wa kuweza kuwa mshindi kwenye kasino ya mtandaoni inayopatika meridianbetkasino, haya ni maelezo jinsi TITAN ROULETTE  inavyolipa:-

1 to  18 : inalipa mara mbili ya kiasi ulichoweka

19 to 36 : inalipa mara mbili ya kiasi ulichoweka

1 to 12 : inalipa mara tatu ya kiasi ulichoweka

13 to 24 : inalipa mara tatu ya kiasi ulichoweka

25 to 36: inalipa mara tatu ya kiasi ulichoweka

OOD: inalipa mara mbili ya kiasi ulichoweka

EVEN: inalipa mara mbili ya kiasi ulichoweka

RED: inalipa mara mbili ya kiasi ulichoweka

BLACK: inalipa mara mbili ya kiasi ulichoweka

Ukichagua fungu la namba tatu mfano 1,2,3 kwa mfumo wa series inalipa mara kumi na mbili ya dau lako, ukichagua kundi la namba nne kwa pamoja mfano 7,8,10,11 inalipa mara tisa ya dau lako pia ukichagua fungu la namba mbili mfamo 20,23 inalipa mara kumi nane ya dau lako, ila hakikisha namba moja wapo iwe imetokea kwenye kundi lako.

Ikiwa 0 au namba yeyote uliochagua itakuwa imetokea baada ya mzunguko kuisha italipa mara 36 ya dau lako, na sasa unaweza cheza kwa kubonyeza HAPA 


3500 NI YAKO UKIJIUNGA TU MERIDIANBET!

Una nafasi ya kupata bonasi ya shilingi 3500 kwa ajili ya kuanza safari yako ya kasino ya mtandaoni ya Meridianbet.

Kubeti Poa - Bonasi Kubwa

Jisajili sasa

Acha ujumbe