Licha ya huzuni yake ya fainali ya Kombe la Dunia, Kylian Mbappe huenda alipata msukumo wa kusherehekea kwa staili ya mlinda mlango wa Argentina Emiliano Martinez. Pata Odds kubwa za soka ukiwa na Meridianbet.

 

mbappe

Video imeibuka ikimuonyesha nyota huyo wa Ufaransa akionekana kumuiga mlinda mlango wa Argentina, ambaye alizua utata nchini Qatar mwezi uliopita.

Martinez alitunukiwa Tuzo ya golikipa bora wa mashindano ‘Golden Glove’ na akaendelea kuishikilia tuzo hiyo kwa nguvu karibu na kiuno chake katika kusherehekea. Meridianbet wanatoa ODDS kubwa kwenye mechi zote. Bashiri hapa.

Punde si punde alitoa sababu zake kuhusu kwa nini alifanya hivyo, akisema: “Nilifanya hivyo kwa sababu Wafaransa walinizomea. Kiburi hakifanyi kazi nami.”

Walakini, licha ya kuwa upande ulioshindwa kwenye fainali, Mbappe hajaona haya kuiga ishara chafu ya kipa.

 

mbappe

Katika video iliyotumwa kwenye Twitter, kijana huyo mwenye umri wa miaka 24 anaonekana kuiga ishara ya Martinez nje ya uwanja wa mazoezi wa Paris Saint-Germain.

Anaonekana kushikilia kitu ambacho kinafanana na tuzo ya Kombe la Dunia na kuwaashiria wenzake.

Mbappe pia alikuwa akitabasamu kwenye video hiyo, kwa hivyo ni wazi hajatilia maanani sherehe za Martinez.


Tangu fainali hiyo ambayo alifunga hat-trick, Mbappe ameichezea PSG mechi tatu pekee kwenye Ligue 1 na kutikisa nyavu mara moja. Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kubashiri.

Bado ana mabao 20 kwa jina lake msimu huu ingawa, huku miamba hao wa Ufaransa wakiwa kwenye mkondo wa kutwaa taji lingine.

Huko England, Martinez wa Aston Villa pia amecheza mara tatu kwa timu yake.

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 30 alitoa pasi safi katika ushindi wao wa dakika za lala salama dhidi ya Southampton wikendi, huku Villa sasa wakiwa na pointi tatu tu kutoka kwenye nafasi ya Europa kwenye msimamo wa EPL. Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, Usikose hii!!

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa