Meridianbet Inakupa Appolo God of Sun – Gemu Nzuri ya Miungu

Ugiriki ni moja ya nchi ambazo zina utajiri mkubwa wa mambo ya kale, na historia ya Ugiriki ni moja ya zile historia za mafanikio makubwa. Dhamira hii inavutia sana na ndiyo maana imekuwa ni moja ya gemu zinazofurahisha sana. Gemu mpya iliyop kwenye sloti ya kasino ya Meridianbet mtandaoni, ambapo watu wa kale wa Ugiriki watawaburudisha sana wateja.

Hii ni dhahania ya zamani ya Apollo, the God of the Sun! Mtengenezaji wa gemu ya “Novomatic” inakuja na “Apollo God of the Sun” ikiwa na milolongo kumi (ikiwa na mikato miwili, mmoja uliosimama na mwingine ulio katika mlalo) na mamia ya mistari ya malipo. Tunaye mchezeshaji ambaye anasafirisha kila kitu kutoka pande moja kwenda nyingine, mizunguko ya bure na ikiwa na mchezeshaji wa ziada.

Sloti ya video ya kutoka Novomatic huwa zinakuwa nzuri sana, hivyo itapendeza sana kuona kuna uwepo wa milolongo mitano ya seti mbili mbili kwenye sloti hii. Seti ya kushoto ina kawaida ya milolongo mitano iliyojipanga mara nne. Seti ya kulia ina milolongo mitano ikiwa katika mipangilio kumi na mbili. Inazunguka bila ya kutegemeana kutengeneza mistari 100 ya malipo. Hata hivyo, wanafanya kazi pamoja katika hatua mbalimbali.

Endapo mchezeshaji akitokea katika seti ya kwanza inachukuliwa na nafasi na kutokea kwenye mstari ule ule na kwenye seti ya pili. Mizunguko ya bure ya mtandaoni inaweza kuchagizwa kwa kuunganisha seti zote endapo unafikia miunganiko ya scatter mitatu, minne au mitano kwenye seti zote.

Scatter ya bonasi inaweza kutokea kwenye mlolongo wa kwanza, tatu au tano na kwenye seti za kushoto na kulia.

Namna inavyofanya kazi

Kwa scatter tatu, unapata mizunguko nane ya bure na kuzidishiwa sawa na malipo yako.

Kwa scatter nne, unapata mizunguko ya bure kumi na mbili na kuzidishiwa sawa na mara 2.5 ya malipo yako.

Kwa scatter tano au zaidi itakupatia mizunguko ya bure ishirini kwenye seti ya kwanza na itatokea kwenye mlolongo ule ule katika seti ya pili.

Haijalishi ni mizunguko mingapi unaipata, kila mchezeshaji kwenye seti ya kwanza atatokea kwenye mlolongo ule ule na katika seti ya pili.

Katika suala la kuepuka gharama, Appolo God of the Sun inaokoa sana gharama hii gemu. Muunganiko wa wildcard ni nguzo ya malipo makubwa hasa hasa kwenye mzunguko wa bonasi.

Endapo miungu wa Ugiriki wakiwa na msisimko mzuri basi subiri malipo makubwa sana. Wanaopenda habari za kale za Ugiriki wanatakiwa kufungua akaunti hapa kwenye Kasino ya Mtandaoni ya Meridian na kujipatia faida mbalimbali ambazo ni maalum pamoja na promosheni ambazo zinakungoja, ingia kwenye miungu wa Ugiriki!

Burudani, historia, mambo ya kale na dhamira nzuri iliyokamilika inaifanya gemu hii kuwa ya kipekee na yenye burudani sana.

32 Komentara

    Asanteni sana meridian mnazidi kututeka kwa kweli yani kila kukicha mnatuongezea michezo kazi kwetu tuu asaivi mashabiki wa hii michezo

    Jibu

    Mko vizuri kwenye games zenu

    Jibu

    Mko vinzuri sana meridian kwa mambo kama haya mmejua kututeka kiukeli sijaona pengine panapo furahisha kama nyinyi na unapata mizunguko ya bure kumi na mbili na kuzidishiwa sawa na mara 2.5 ya malipo yako duuh sihami

    Jibu

    Good game #meridianbettz

    Jibu

    Nimewapenda bure mnazidi kutuletea mambo mazuri kila iitwapo leo

    Jibu

    Kila itwapo leo mnazidi kutufurahisha

    Jibu

    Mchezo mzuri

    Jibu

    Ugiriki nchi ya historia Sana iko vizur kwa mambo ya kale

    Jibu

    Yaan! ni gemu za la kipekee na yenye burudani sana.

    Jibu

    Hii game kalii kinyama

    Jibu

    Meridianbet mnatisha..

    Jibu

    Da! Jamani meridianbet mnazidi kutujali na michezo na burudani sn Kila siku michezo ya kutosha

    Jibu

    Nimeujaribu Mchezo unalipa sana

    Jibu

    huo mchezo mzuli sana#meridianbettz

    Jibu

    Mchezo mzuri Sana huu.

    Jibu

    Naipenda sana hii gem #Meridianbettz

    Jibu

    Hii gemu naikubali sana.

    Jibu

    Ni ubunifu mzuri sana kutumia vitu vya kale kwenye Casino#meridianbettz

    Jibu

    Ni ubunifu mzuri Asante
    Sana meridianbettz kwa makala nzuri

    Jibu

    Slot ndio sehemu yngu ya kuvuna mkwanja

    Jibu

    Mchezo Babu kubwaa meridianbet nomaaa

    Jibu

    casino nako kumenoga, ni mwendo wa kupiga pesa huku tukifurahiaaaa!

    Jibu

    Slot inafaida kumbe

    Jibu

    Great game

    Jibu

    Game lipo vizuru kaz kwetu sisi wateja

    Jibu

    N mchezo mzur then unahela sana ukiujua

    Jibu

    Old is Gold

    Jibu

    Hii iko bomba sanaa

    Jibu

    yani kila kukicha mnatuongezea michezo kazi kwetu tuu asaivi mashabiki wa hii michezo

    Jibu

    Huu hi mchezo mzuri sana na una burudani na poa unataka pesa

    Jibu

    Michezo mzuri sana

    Jibu

    Michaezo mizur

    Jibu

Acha ujumbe