Moyes: Declan Rice Hauzwi

Kocha mkuu wa West Ham ametangaza kwamba kiuongo wa Uingereza Declan Rice hauzwi wakati wa dirisha la usjili majira ya kiangazi vinginevyo klabu itakayovutiwa ilete si chini ya £150m.

Moyes: Declan Rice Hauzwi

Rice mwenye umri wa miaka 23 alikuwa kwenye rada za timu ya Chelsea na Manchester Unitedlakini meneja wa wagonga nyundo wa London amepiga chini mpango wa kumuuza.

“Kitu kimoja ninachoweza kusema ni kwamba hauzwi,” alisema Moyes.

“Lakini klabu itakayovutiwa itakuwa juu ya hiyo sababu mwaka jana bei ya chini kwa Rice ilikuwa £100m kwa hiyo kwa sasa bei ya chini itakuwa £150m – lakini hauzwi kwakweli.”

West Ham wameketi katika nafasi ya saba kwenye EPL wakiwa na lengo kucheza Ligi ya Mabingwa msimu ujao lakini wanaweza kufika katika michuano hiyo iwapo watashinda Europa League, ambapo kwa sasa wapo katika robo fainali.


3500 NI YAKO UKIJIUNGA TU MERIDIANBET!

Una nafasi ya kupata bonasi ya shilingi 3500 kwa ajili ya kuanza safari yako ya kasino ya mtandaoni ya Meridianbet.

Kubeti Poa - Bonasi Kubwa

Jisajili sasa

Acha ujumbe