Silaha ya Bayern Kane Yaanza Mazoezi Kuikabili Arsenal

Inaonekana Harry Kane atakuwa fiti kwa ajili ya kukabiliana na Arsenal katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa mwezi ujao baada ya kuanza mazoezi pamoja na Bayern Munich. Mechi hii sio ya kuacha kubashiri hapa Meridianbet ina uhakika wa maokoto.

 

harry kane

Kane alijitoa katika kikosi cha England wiki iliyopita kutokana na jeraha la kifundo cha mguu.

Mshambuliaji wa zamani wa Tottenham alikosa mchezo wa Jumamosi dhidi ya Brazil na kurudi Ujerumani mwishoni mwa wiki ili kuendelea na uponyaji wake.

Lakini Kane anatumai kurudi kwa wakati uwanjani na kuongoza mashambulizi ya Bayern watakapo tembelea Uwanja wa Emirates kwa mchezo wa kwanza wa robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya tarehe 9 Aprili. Habari nzuri kwa Bayern na mbaya kwa Arsenal bila shaka jamvi lako la Meridianbet kama ulipanga kumpa Bayern roho kwatu imetulia unasubiri siku ifike ujipigie mihela, bashiri na Meridianbet kwa ushindi rahisi.

Bayern wamethibitisha Jumatatu kwamba Kane amerudi kwa mazoezi binafsi na miamba wa Bundesliga wanatumai kwamba hataweza kucheza dhidi ya Borussia Dortmund Jumamosi.

Arsenal watakutana na Bayern wakati Kane atarejea kucheza kaskazini mwa London kwa mara ya kwanza tangu aondoke Tottenham msimu uliopita.

Harry Kane Mwenye umri wa miaka 30 amekuwa katika fomu nzuri sana kwa Bayern, akifunga mabao 31 katika mechi 26 za Bundesliga msimu huu, na kurudi kwake ni msaada mkubwa kwa Wajerumani. Pia hata kwenye jamvi lako utamu ni mechi ni magoli na Kane anajua kufunga unaweza kutabiri atafunga ngapi siku hiyo? Zama kwenye simu yako tengeneza jamvi kisha subiri maokoto baada ya mechi.

“Harry Kane alikamilisha mazoezi binafsi kwenye uwanja wa mazoezi wa FC Bayern Jumatatu asubuhi,” Walisema Bayern katika taarifa. “Mshambuliaji mwenye umri wa miaka 30 alifanya mazoezi na mpira kwenye uwanja pamoja na kocha wa viungo Holger Broich.”

Acha ujumbe