England Yatoshana Nguvu Na Scotland Euro 2020

Michuano ya Euro 2020 imeendelea hapo jana wakati mechi iliyosubiriwa kwa hamu kubwa kati ya England vs Scotland ikishuhudia tasa ya bila kufungana.

England
Mambo yalikuwa magumu sana hasa katika kipindi cha pili
Katika mechi iliyokosa goli hata moja England walionekana kucheza nyuma zaidi na kutawala mchezo.

Mchezo uliotegemewa kuwa rahisi kwa England uligeuka tofauti na mategemeo ya wengi na matokeo kubaki 0-0. Yalipigwa mashuti mengi lakini ni mashuti matatu ndio yaliyolenga lango kati ya 17 ya timu zote.

England
Vijana wakipepetana

Uingereza walicheza katika sehemu yao ya kujihami huku wakitawala bila jitihada hima za kutafuta mabao. Baada ya mchezo huo, mchambuzi wa soka Roy Keane alionesha hasira zake kwa Declan Rice kwa kucheza nyuma.


SHINDA TSH 150,000,000/=

Mtaani kumechangamka, washkaji wanakamata mkwanja kwa mkakati tu na Footbal Fever! Ni rahisi, changamkia fursa hii kushinda mgao wako wa TSH 150,000,000/= 💰🤑

Atletico, Atletico Waunga Tela kwa Calhanoglu, MeridianbetINGIA MCHEZONI

Acha ujumbe