Shirikisho la mpira wa miguu duniani FIFA limeamua mchezo kufuzu kombe la dunia kati ya Brazil na Argentina kurudiwa tena baada ya mchezo wa awali kuwa na sintofahamu ya afya za wachezaji wa argentina kuvunja mashati ya quarantine.

FIFA pia wameamua kuwapiga faini maafisa wa Brazili baada ya kuingia uwanjani kwenye dimba la Neo Quimica Arena na kuwashutumu wachezaji wa Argentina kuwa walivunja sheria ya quarantine, wachezaji wanne waliokuwa wancheza Uingereza wachezaji hao ni Emiliano Buendia Emiliano Martinez Cristian Romero Giovani Lo Celso

fifa, FIFA: Brazil na Argentina Mechi Kuchezwa Tena, Meridianbet

Timu zote mbili zimezuiliwa kucheza yao iliyobaki ya kufuzu michezo ya konbe la dunia mwaka huu nchini Qatar, kwenye waraka uliotolewa leo ulisomeka, “baada ya uchunguzi kuna viashiria vya ukweli na kuna mwanga kuwa kanuni hazikufwata, FIFA idara yake ya nidhamu imeamua kuwa mechi irudiwe na tarehe kupangwa tena.

“FIFA idara yake ya nidhamu imehitimisha kuwa kufutwa kwa mchezo huo kumetokana mapungufu mbalimbali yaliohusisha pande zote mbili.”


KASINO YA MTANDAONI: EMOTICOINS SABABU YA KUVUNA ZAIDI.

Haijawahi kuwa rahisi hivi kwenye safari yako ya kuvuna mkwanja, kasino maridhawa ya meridianbettz inakuletea mchezo wa Emoticoins unaokupa nafasi ya kufanya safari yako kuwa rahisi zaidi. Wakati ni wako nafasi ni yako na Emoticoins.

senegal, Senegal Mabingwa AFCON 2021., Meridianbet

CHEZA HAPA.

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa