Mshambuliaji wa klabu ya Paris Saint Germain Neymar amatarajiwa kuongeza nguvu kwenye mchezo wa klabu bingwa barani Ulaya dhidi ya Real Madrid baada ya madaktari kuthibitisha kuwa amepona kabisa na sasa anaweza kujumuishwa kikosini.

Mshambuliaji huyo wa kimataifa kutokea Brazil mwenye miaka 30 alikuwa nje ya uwanja tangu November 2021 baada ya kupata majeraha ya ankle kwenye mguu wake wa kushoto

Neymar

Ijapokuwa Neymar hakuwepo kwa miezi kadhaa lakini klabu ya PSG imefanikiwa kuendeleza ubora wake kwenye ligi kuu ya Ufaransa, ingawa wametolewa kwenye mashindano ya Coupe de France hatua ya 16 bora.

Neymar japo hatarajiwi kuanza kwenye kikosi kitakachomenyana na Real Madrid, kwenye mchezo wa kwanza wa hatua ya 16 bora, lakini kuna uwezekano mkubwa wa yeye kujumuishwa kwenye listi ya wachezaji watakaokuwepo kwenye benchi la timu hiyo.


KASINO YA MTANDAONI: EMOTICOINS SABABU YA KUVUNA ZAIDI.

Haijawahi kuwa rahisi hivi kwenye safari yako ya kuvuna mkwanja, kasino maridhawa ya meridianbettz inakuletea mchezo wa Emoticoins unaokupa nafasi ya kufanya safari yako kuwa rahisi zaidi. Wakati ni wako nafasi ni yako na Emoticoins.

senegal, Senegal Mabingwa AFCON 2021., Meridianbet

CHEZA HAPA.

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa