Mchezaji nyota wa klabu ya Paris Saint Germain Achraf Hakimi ameripotiwa kutaka kuondoka kwenye klabu hiyo baada ya kuitumikia kwa msimu mmoja kwenye viunga vya Le Parc des Princes.
Mchezaji huyo wa kimataifa kutokea Morroco alijunga na klabu hiyo mwaka jana, akitokea klabu ya Inter Milan ya Italia kwa ada ya uhamisho ya £60 million huku akisaini mkataba wa miaka mitano ya kuitumika klabu hiyo.
Achraf Hakimi ni moja ya majina makubwa yaliosahiri kwenye majira ya kiangazi chini ya kocha Mauricio Pochettino akiwa pamoja na Sergio Ramos,Lionel Messi, Gianluigi Donnarumma, Gini Wijnaldum, Nuno Mendes na Danilo Pereira.
3500 NI YAKO UKIJIUNGA TU MERIDIANBET!
Una nafasi ya kupata bonasi ya shilingi 3500 kwa ajili ya kuanza safari yako ya kasino ya mtandaoni ya Meridianbet.