Lile shindano kubwa la kusaka vipaji vya kupiga Danadana kitaani, linaendelea kwenye maduka ya Meridianbet Tanzania yaliyopo Jiji la Dar Es Salaam, ambapo limefikisha siku ya tatu tangu lilivyoanza.

Timu ya Masoko kutoka Meridianbet walitembelea maduka yaliyopo Magomeni ambalo ni Max 19 na lile lililopo Manzese Max 95, zoezi lilihusisha wateja wote walikuwepo kwenye maduka hayo na mchuano ulikuwa na mkubwa sana.

 

View this post on Instagram

 

A post shared by Meridianbet Tanzania (@meridianbettz)


Mshindi aliyejinyakulia zawadi nono ya mpira mpya kutoka Meridianbet alikuwa ni Mfaume Omary ambaye alimshinda vikali mpinzani wake namba mbili Issa Hassan.

Pia zoezi lilihamia kwenye duka la Max 19 ambalo linapatikana Magomeni Malapa na mshindi wa duka hilo alikuwa ni Idrisa Yassin nae aliwalaza hoi wenzake kwani aliwaacha mbali sana na hivyo kujikatia tiketi ya kushiriki fainali za Bingwa wa Danadana na Meridianbet.


Kombe la Dunia Linatimua Vumbi huko Qatar ni timu 32, sawa na mechi 64 zitapigwa kwenye viwanja tofauti. Meridianbet wana uwanja wao wa Kushiriki na wewe wakati Michuano hii inaendelea.

Uwanja wa Machaguo Spesho ni Kwa ajili yako, wewe Bingwa wa Kubeti. Unaweza kubeti ni Timu gani itachukua Ubingwa, Timu gani Itaongoza kuwa na kadi nyingi za Njano na Nyekundu, au Timu gani itatoka mapema kwenye michuano hiyo. Uamuzi ni wako. Chaguo ni lako. Hii ipo mpaka mwisho wa Kombe la Dunia.

BONYEZA HAPA

 

 

danadana

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa