Choupo-Moting Aweka 2 Akiwa Bayern.

Thomas Muller amemsifu Eric Maxim Choupo-Moting na kumtania kuwa alijipanga haswa, lakini magoli mawili akiwa Bayern Munich ikiwa ndiyo gemu yake ya kwanza Moting amefurahia na kuwa msaidizi wa Robert Lewandowski.

Straika huyo ambaye aliichezea Paris Saint-Germain dhidi ya Bayern Munich msimu uliyopita katika fainali ya Champions League, amesaini dili na mabingwa hao katika siku za mwisho za dirisha la usajili.

Choupo-Moting Aweka 2 Akiwa Bayern.
Wachezaji wa Bayern Munich, Thomas Muller na Eric Maxim Choupo- moting

Muller tayari amevutiwa na mchezaji huyo ndani na nje ya dimba, ameiambia SPORT1: “[Choupo-Moting] analeta hamasa pia ni mtu mwenye matani tukiwa nje ya uwanja.

“Anaendana na mtindo wetu wa uchezaji kwa sababu pia ana mbinu nzuri akiwa na mpira kama ataendelea na kasi hii hakika atatosha sana ndani ya kikosi.

Choupo-Moting alikuwa akihudumu kusaidiana na akina Mbappe, Neymar mauro Icardi na Edenson Cavani katika timu ya PSG.

Bayern hawaja poa bado wana kasi ile ile ya ushambuliaji, lakini mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 31 bado anajitafuta akiwa nyuma ya Lewandowski, ambaye aliongoza kwa ufungaji barani Ulaya msimu uliyopita.

Choupo- Moting anafuraha ya kutosha kwa kupata Jukumu la kushambulia ingawa, alielezea: “Heshima zangu kubwa ziende kwa Lewy ambaye alistahili kushinda mshambuliaji bora msimu uliyopita.

“Nimepata nafasi ya kucheza badala ya yeye, na kama tukicheza pamoja nitajitahidi kucheza kwa bidii iwezekanavyo.


Unapenda kuwa shujaa?

Naam, hapa ni mahali pako! Kuwa shujaa kwenye sloti hii ya Samurai Ken ujishindie mkwanja na kujipa burudani murua.Β 

Cheza sasaΒ 

Samurai Ken Online Casino

27 Komentara

    Vizuri Sana alivyo ifanyakazi Chaupo game yake yakwanza kuleta matokeo mazuri

    Jibu

    chaupo ameanza vizuri gemu yake ya kwanza kuibuka na ushindi

    Jibu

    kijana ana juhudi za kufa mtu kaanza vizuri sana katika msimu huu

    Jibu

    Bayern hela yao ya usajili kwa mchezaji huyu haijaenda bure

    Jibu

    Mwanzo mzuri kwa Choupo-Moting

    Jibu

    kaanza vizuri msimu huu

    Jibu

    Chsupo ameonesha nguvu zake kwenye game

    Jibu

    Alianza vzr

    Jibu

    Alianza vizuri

    Jibu

    Moting ni noma

    Jibu

    Safi sana Chaupo.

    Jibu

    Safi san chaupo mwanz mzuri

    Jibu

    Chaupo ni talent player

    Jibu

    Kaanza vizuri msimu huu

    Jibu

    Mwanzo mzuri kwa Choupo

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    vzr

    Jibu

    Congrat choup MOuTingπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺ

    Jibu

    Chop moting mtu mwengine

    Jibu

    Kazi nzuri Choupo

    Jibu

    Kwahapo lazima asifiwee

    Jibu

    Pongez kwake

    Jibu

    Mwanzo wake mzuri

    Jibu

    Ameanz msimu mzuri

    Jibu

    Safi sana kwa kazi nzuri

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

Acha ujumbe