
“Ndiyo, inaenda kuwa kazi ngumu na kuna michezo kila baada ya siku tatu au zaidi,” alisema kwenye kipindi cha klabu cha michezo.
“Lakini, hapana, nipo kwenye nafasi nzuri, kiafya na kiakili nipo sawa na tayari kwa safari, Nimatumaini kila mchezaji amerudi, hatuhitaji kupata majeraha hii nikutokana na idadi ya michezo tuliyo mayo mbele.
“Nimeona kwenye Sky ratiba na idadi ya michezo imekuwa ikioneshwa kila siku, kwa hiyo itakuwa ni wakati mzuri kwa mashabiki kukaa na kutizama, hawata pata fursa ya kuingia viwanjani kwaajili ya kuwapa nguvu wachezaji lakini ni bora tutafanya vizuri kwa michezo yote.
Tayari Ole Gunnar Solskjaer amekwisha cheza mechi moja tangu kurudi kwa EPL walipokutana na Tottenham na matokeo yalikua 1-1 na wanakwenda kukabiliana na Sheffield United kuendelea kupigania nafasi nne za juu .
Mshetani Wekundu wapo nafasi ya tano kwa kuwa na na alama 46 nyuma ya Chelsea wenye alama 51.


isha
Sawa moguire hayo.ni maoni yako uko sahihi
Povel
Gud news
Njiku
Ipo poa hii maguire anatumaini kuwa man u ipo poa na inahitaji kukipiga kwe ligi ya mabingwa barani ulaya yupo sahihi ila wanachotakiwa kukazaa uzi dhidi ya sheffied united nao hawajanyeka
Shafii
Makala ya Maguire nzuri na inapendeza
Aziza mushi
Habari njema.
Neema hassan
Asante kwa makala#meridianbettz
Omary lukumbi
Sawa kapten harry Maguire
Gabriel
Harry Maguire kwa wapenz wa mpira kipindi hicho tunamuita bek kisiki pia
Have nice update 👍
# meridianbet Tanzania
Sabrina
Maoni:Asante #Meridianbettz kwa taarifa
Ernest
Kila timu sasa imekuwa vitani hasa zile zinazotaka kushuka daraja na zile ambazo zinapambana kuingia big four.
Hamidu
Beki Bora kwa sasa pale EPL Maguire anajua kufanya majukumu yke..alistahil kabisa kusajiliwa Man utd#meridianbettz
Amiri Kayera
Beki bola Sana huyu
Mwajuma
Nibeki ninaemkubali sana
Ester jackson
yupo sahihi ila wanachotakiwa kukazaa uzi dhidi ya sheffied united nao hawaja jiweka kinzembe ni mtanenge tu
Johnmary joel
Maono yako tunayakubali #meridianbett
Hidaya
Asante kwa habari nzuri
Hidaya
Asante wkwa habari nzuri
Hidaya
Asante meridian bet kwa habari nzuri
Latifa juma mohamed
Maguire beki bora
Ally mohamedi ally
Ipo gud hyo
Fatuma kasomo
Beki mzuri huyu
mwakalosi
afanye juhudi na asipate majeraha aramaliza tu
Samira
Maguire ni beki mwenye viwango sana
Agness
Habari njema
Rehema
Ni beki mzuri sn
Dorophina
Hayo ni maoni yake Harry si tunasubilia tuone kwenye mechi nn kitajiri
Sadick
Kwa Maguire kucheza mechi zote dakika 90 maana yake Kocha ana imani nae na hakuna mbadala wake. Kwangu naona hajawa na uwezo kama ule wa Vidic na Rio Ferdinand#meridianbettz
Angelina
Anafanya vizuri na atafika mbali
Genia Sikaluzwe
Ni beki anaetambuwa wa jibu wake
Magdalena
Kijana mahili wakati wote
Elika
Yuko sahihi sana
warda
Ni juhudi tu zinahitajika#Meridianbettz
Caroline
Ni mawazo yake
christopher
Hongera yake Harry Maguire,
Khadija
Yupo sahihi anachotakiwa kukaza uzi#meridianbettz
Zeiyana
Sawa hayo ni maoni yako tunaitaji vitendo kama mashabiki wa man utd
Devotha
Makala nzuri
Lydia Emmanuel Magoti
Yupo sahii nibek mzuri
Emmy cleopa
Habari njema
Samiah
Yupo vzr sanaa
Mariam mtandama
Habari mjema
Adelta
Yuko sahii
Hope mwaikuka
M n nan nkupnge
Frank Patrick
Nafasi ya Tano itamfaa
Furahav
Huyu maguire beki kisiki.
Mwanaidi
Ni beki mzuri sana Maguire
David Pere
Anaweza sababu Ndio beki pekee pale
Leonard
Man u ya moto
Theonestina
Ni beki matata Sana awapo uwanjani
Edgar
habari nzuri
Amani
Kocha ana imani nae na hakuna mbadala wake. Kwangu naona hajawa na uwezo kama ule wa Vidic na Rio Ferdinand#meridianbettz
Salma
Yupo vizuri
felister
anaweza kwa sababu ni beki pekee
Tahiya
Hayo ni maono yake
Asia Abdy
Habar njema
Evaluziga
Ni beki mzuri
Issa
Maguire beki alieimarisha ukuta wa united
Toka asajiliwe